"Welcome to MediaForums, your premier destination for thought-provoking discussions, expert analysis, and insider insights on the dynamic world of media. Explore the latest trends, debates, and innovations in entertainment, technology, and culture. Join the conversation and stay informed!"
Monday, August 25, 2025
POLISI WAKAMATA SHEHENA LA NYAYA ZA SHABA ZA KAMPUNI YA TENESCO-MKURANGA-PWANI
AUDIO | Haitham Kim – I Wish | Download
Download | Haitham Kim – I Wish [Mp3 Audio]
Haitham Kim – I Wish –Haitham Kim, a Tanzanian female artist who is quickly rising to prominence, has released a new jaw-dropping banger titled “I Wish“.
Haitham Kim – I Wish –Haitham Kim, a Tanzanian female artist who is quickly rising to prominence, has released a new jaw-dropping banger titled “I Wish“.
Download | Haitham Kim – I Wish [Mp3 Audio]
EP | Mbosso – Room Number 3
Mbosso has officially released his brand new Extended Playlist (EP) titled “Room Number 3”, featuring 7 tracks that beautifully blend emotion, creativity, and a variety of modern sounds. This EP marks a significant milestone as it is the first project released under his newly launched record label, Khan Music.
“Room Number 3” showcases Mbosso’s growth as an artist, combining popular genres like Bongo Flava, Afrobeat, R&B, and Amapiano. Each track dives into relatable themes such as love, relationships, and everyday life, expressed through heartfelt lyrics and captivating melodies that speak directly to today’s generation.
With his signature vocals and polished production, Mbosso continues to prove why he remains a leading figure in East African music. Through Khan Music, he sets the tone for a new chapter, promising fans more authentic and unforgettable music experiences.
🎧 Listen, stream, enjoy, and share the full EP “Room Number 3” via the link below. You don’t want to miss it!
AUDIO | Yammi Ft. Mdogo Sajent – Sijafunzwa | Download
Tanzanian rising star Yammi has officially released a brand new singeli banger titled “Sijafunzwa” featuring the energetic Mdogo Sajent. The track comes in as Track Number 2 on her freshly released EP, After All, which is already making waves in the Bongo Flava and singeli scene.
“Sijafunzwa” is a fast-paced, high-energy track that blends Yammi’s sweet and melodic vocals with Mdogo Sajent’s raw street singeli vibe, creating a perfect balance between modern sounds and traditional singeli flavor. The collaboration highlights Yammi’s versatility as an artist who can comfortably move between genres while staying true to her unique style.
Listen to “Yammi Ft Mdogo Sajent – Sijafunzwa” below;
AUDIO | Lava Lava – Wanangu Ft. DJ Awakening | Download
Ni msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Lava Lava (jina halisi: Abdul Juma Idd), Lava Lava alizaliwa mwaka 1993 na ana sifa ya kuwa na sauti ya uhakika, akiwa mwanachama wa lebo maarufu ya WCB Wasafi, iliyosanikwa na Diamond Platnumz
Download | Lava Lava – Wanangu Ft. DJ Awakening [Mp3 Audio]
Tuesday, August 19, 2025
NGUZO 5 ZINAZOBEBA NGUVU YA KIPAJI CHAKO
Kila mwanadamu mungu kampa kile anacho stahili nikiwa na maana ya kwamba kila mtu ana kipaji chake ambacho kapewa na mungu lakini ndani ya hicho kibaji kuna nguzo mahususi ambazo kati ya hizo nitazitaja 5 kwa njia ya maswali ambazo ni;
i. Jua Kipaji Chako Kimebeba THAMANI Gani?
ii. Kipaji Chako Kinalindwa Namna Gani?
iii. Kipaji chako ni kwa ajili ya watu gani?
iv. Kipaji Chako Kinajitofautishaje?
v. Kipaji chako Kimeambatana na Hatari Gani?
Katika Makala Hii Tutazungumzia Nguzo ya Pili?
- Kipaji Chako Kinalindwa Namna Gani?
Kila kipaji lazima kilindwe ili kiweze kuwa na ufanisi na kitoe matokeo makubwa
na pia kiishi kwa muda mrefu zaidi.
Kama unataka kufanikiwa kukifanya kipaji chako kizalishe thamani ya kifedha ni
lazima ujue mambo yanayohitajika kufanyika ili kukilinda.
Kuna watu ambao waliwahi kuibuka wakiwa na vipaji vikubwa sana ila hawakuweza
kudumu kwa muda mrefu kwa sababu walishindwa kuvilinda vipaji vyao.
Ukiwa na kipaji ila ukashindwa kukilinda basi kinaweza kisikupe faida ama
kikakupa faida ya muda mfupi sana.
Kwenye kulinda kipaji chako ni lazima ujue kuhusu “Do’s and Don’t’s” (Mambo
unayopaswa kuyafanya na yale usiyopaswa kuyafanya).
Kubeba kipaji chako na kukifanya kilete matunda hakuna tofauti kabisa na mama
ambaye ni mjamzito, kuna masharti anatakiwa ayafuate sio kwa sababu yake yeye
ila kwa sababu ya usalama wa mtoto aliyeko tumboni kwake.
Kuna mambo lazima ujizuie kuyafanya na mengine ujilazimishe kuyafanya ili
kukifanya kipaji chako kidumu na kilete matokeo.
Ukiwa na kipaji na ukaishi maisha yasiyo na nidhamu uwe na uhakika kipaji chako
hakitaleta matokeo, kitaleta matokeo kidogo, ama kitaleta matokeo kidogo sana
au hakitadumu muda mrefu.
Kama unataka Kujifunza Zaidi Mbinu Za JINSI Ya Kukigeuza KIPAJI Kuwa PESA ”
Nashauri Usome nenda MediaForumz.blogspot.com
NO:
+255745228862 WhatsApp (Gadafi Nguile)
VITA AMBAYO MUNGU ATAHAKIKISHA ANAKUACHA UNAPIGANA PEKE YAKO MAISHANI
KUNA AINA FULANI YA VITA AMBAYO MUNGU ATAHAKIKISHA ANAKUACHA UNAPIGANA PEKE YAKO, HATARUHUSU MTU MWINGINE AKUSAIDIE.
kuna aina fulani ya vita ambayo mungu atahakikisha anakuacha
unapigana peke yako, hataruhusu mtu mwingine akusaidie.
Sio kwa sababu anataka ushindwe vita hiyo, ila ni kwa sababu ni vita ya mkakati
anataka kukutofautisha na kubadilisha viwango vyako.
Yaaani itakuwa Kama vile hakuna aliye tayari kukusaidia, Hata wale ambao huwa
umezoea wanajitolea kuwa na wewe nyakati Kama hizo hautawaona.
Ukiona unapitia kwenye vita Hii, usianze kulalamikia watu au kumlaumu Mungu
kuwa amekuacha. Jua kwamba uko kwenye vita ya mkakati.
Mungu huwa Hana upendeleo, ili akupeleke mahali/kiwango ambacho wengine
hawajafika lazima atengeneze mazingira ambayo yataonyesha kuwa hajakupendelea
(Rudia Kusoma Tena Hii).
Na njia rahisi ya wewe kutoonekana umependelewa ni pale ambapo unapita ambapo
wengine hawajapita na hauachi kumtegemea yeye.
Nakuombea, Hata Kama unaona Nguvu zimekuishia, usiishie njiani na usikate
tamaa. Siku Yako Imekaribia.
Kama umependa makala hii tafadhali share na wengine wapate chakula hiki cha
roho
See You At The Top through MediaForumz.blogspot.com
NO: +255745228862
WhatsApp (Gadafi Nguile)
JIFUNZE JAMBO KUTOKA KWA JESSICA COX RUBANI ASIYE NA MIKONO!
JESSICA COX ni mwanamke mmarekani aliyezaliwa mnano mwaka 1983 bila mikono lakini ndiye mwanamke pekee wa kwanza asiye na mikono pekee duniani kupewa leseni ya kurusha ndege.
Mwanamke rubani asiye na mikono hivyo anaongoza ndege kwa kutumia miguu yake!
Na huu ndio upekee wake mkubwa kwa marubani wote duniani ukiangalia kwa hali ya
kawaida hana viungo ambavyo ni mikono inayotumika kuongozea ndege lakini kwake
kutumia miguu ndicho kimekua kitu chake cha pekee sana na kujitofautisha sana
rubani yoyote Duniani na ndicho kinaishangaza dunia kutoka kwake!
Katika kitabu chake cha "Disarm your Limits" moja ya msemo
wake anasema katika maisha huitaji kuwa na mikono ili uwainue watu kutoka chini
ila unahitaji moyo wa Upendo wa kudhati kuwatia moyo na kuwaonesha wanaweza
kufanya nakubwa haijalishi walivyo haikua rahisi kwangu kuthubutu kufanya
ninachofanya, haikua rahisi nikijiona nilivyo na maamuzi ya kujifunza urubani!
Anasema haijalishi ulivyo na watu wanakuonaje unahitaji mambo muhimu sana kama.
Kujiamini mwenyewe hata kama wengine hawakuamini, haikua rahisi watu kuamini
kama nitaweza kuongoza ndege bila mikono sasa naongoza, unahitaji uvumilivu
mkubwa, unahitaji kujaribu Mara mia Mara elfu mpaka uweze, unahitaji kushindwa
Mara nyingi ili ushinde, unahitaji kushinda roho ya uoga na anasema vikwazo
vingi vinavyotuzuia ni kwa sababu ya mtazamo wetu hua tunavitengeneza wenyewe
kiuhalisia havipo!
Amini wewe ni mashindi hata kama hakuna anayeamini wewe ni mshindi kwa sababu
ya muonekano wako wa nje lakini jiamini na jikubali mwenyewe jinsi ulivyo
ushindi uko ndani yako!.
Jifunze jambo kutoka kwa Jessica cox rubani asiye na mikono!
Kitu ambacho kinaonekana ni udhaifu wako hicho kinaweza kuwa fursa ya
kuishangaza dunia na ndicho kinaweza beba tofauti yako na THAMANI yako!
USIKATE TAMAA JINSI ULIVYO UNAWEZA UNA UKUU NDANI YAKO!
Kama umependa makala hii tafadhali share na wengine.
See You At The Top
NO:
+255745228862 WhatsApp (Gadafi Nguile)
Eng Gadafi Nguile
AINA YA MARAFIKI UNAOWAHITAJI KATIKA MAISHA YAKO
Aina 5 Za Marafiki Unaowahitaji...
Katika maisha yako ya kila siku jitahidi kuwa na marafiki wa aina hizi ambazo naenda kuzitaja hapa chini kwa mafanikio yako binafsi.......
i. Marafiki wanaokutia moyo
ii. Marafiki wanaokupa changamoto
iii. Marafiki wanaokusikiliza.
iv. Marafiki wawazi
v. Marafiki wanaotuunganisha
Katika Makala Hii Tutazungumzia Aina ya Pili ya marafiki unaowahitaji
- Marafiki wanaokupa changamoto
Ni watu ambao wapo kukusababisha kufanya vitu kwa kiwango cha juu zaidi.
Ni ambao mara nyingi hawaonekani kukusifia sana zaidi ya kukuhamasisha uzidi
kupiga hatua.
Usipowaelewa utadhani wanakuonea wivu kwa kutokukusifia kwa mafanikio yako,
lakini wanataka kuona unapaa zaidi.
Aina hii ya marafiki mara nyingi ni watu ambao wanajua uwezo wako vizuri, wewe
unapokuwa unadhani umefika wao wanakuwa watu wa kukusukuma uzidi kupiga hatua.
Watakusukuma mpaka uipanue hodhi yako kwa mipaka mikubwa inayofanana na uwezo
wako.
Kwa jina lingine tunawaita polisi ambao wanakusaidia usiridhike na mafanikio
madogo.
Marafiki hawa mara nyingi ukileta wazo lako watakupa changamoto zaidi ili uzidi
kupanua uwezo wako wa kufikiri na kutenda.
Watu wengi wameshindwa kupiga hatua kubwa kimaisha kwa sababu ya kuridhika na
mafanikio madogo.
Ukikosa watu wa kukupa changamoto hutaweza kwenda mbali.
Usipende kuzungukwa na watu wanaokusifia tu.
Unawahitaji marafiki wa aina hii pia ili wazidi kuiamsha akili yako.
Kama unataka Kujifunza Zaidi Mbinu Za Jinsi Ya Kutengeneza MTANDAO Wa MARAFIKI
UTAKAOKUSAIDIA Kutimiza Malengo Yako Nashauri Usome MediaForumz.blogspot.com
yangu ya MARAFIKI
MediaForumz.blogspot.com kujua MARAFIKI
BOLA
NO: +255745228862
WhatsApp (Gadafi Nguile)
Sunday, August 17, 2025
NJIA ZA KUMRIDHISHA MWANAUME BILA KUKUTANA NAYE KIMWILI
Kumpa mpenzi wako furaha na kuridhika kimapenzi ni jambo muhimu sana katika
uhusiano wenu, hata kama hamko Pamoja kimwili. Kuna njia nyingi za kumridhisha
mwanaume bila ya kukutana kimwili ambazo unaweza kuzitumia ili kudumisha
mahusiano yenu na kumfanya ahisi upendo wako.
Hapa chini nitakwenda kuzungumzia baadhi ya
njia hizo kwa undani zaidi.
1. Kutumia sauti:
Mawasiliano ni sehemu muhimu sana katika uhusiano wowote, hata kama ni uhusiano
wa mbali. Unaweza kutumia sauti yako kumridhisha mwanaume wako kwa kutumia
maneno mazuri na ya kuvutia pamoja na sauti ya namna ya kumfanya apate hisia za
kimahaba. Miguno, maneno yenye mahaba na hata michezo ya maneno inaweza kuwa
njia nzuri ya kumfanya mwanaume aridhike bila hata ya kukutana naye ana kwa
ana.
2. Kutumia mikono:
Kugusa ni mojawapo ya njia bora ya kuonesha upendo na hisia zako kwa mpenzi
wako. Kama mko mbali kimwili, unaweza kutumia mikono yako kufanya massage
taratibu kwa kutumia mafuta au lotion ili kumfanya mwanaume wako ahisi raha na
faraja. Unaweza kuhamasisha mzunguko wa damu na kumfanya mwanaume ajisikie
vizuri zaidi.
3. Kutumia maziwa:
Kwa wale wenye maziwa makubwa, unaweza kutumia maziwa yako kumridhisha mwanaume wako. Maziwa yana hisia nyingi na yanaweza kumfanya mwanaume ajisikie kama anagusa kitu halisi. Unaweza kuhakikisha unawapa maziwa yako matunzo ya kutosha ili kufikia lengo hilo.
4. Kutumia mapaja:
Mapaja yana hisia nyingi na yanaweza kutumika kama njia ya kumridhisha
mwanaume bila ya kukutana kimwili. Unaweza kufanya mazoezi ya kuimarisha mapaja
yako ili yawe na mvuto zaidi na kumfanya mwanaume wako ahisi raha.
5. Kulamba koni:
Hatua hii inahitaji ujasiri na umakini, lakini kulamba koni ya mwanaume wako
inaweza kuwa njia ya kumfanya ahisi furaha na kuridhika. Hakikisha unajua jinsi
ya kufanya hivyo kwa usahihi na kwa staha ili kumfurahisha mwanaume wako.
6. Kutumia kucha:
Kutumia kucha zako kwa upole na ustadi kunaweza kuwa njia nyingine ya
kumridhisha mwanaume wako bila hata ya kukutana naye kimwili. Unaweza kuzitumia
kwa kumpa msaada wa massage au kumvutia na kumfanya ahisi hisia tofauti.
Hakikisha unazingatia usafi na uangalifu ili kuepuka maumivu au majeraha
isivyostahili.
Kumbuka, kila mwanamke ana njia yake ya kipekee ya kumridhisha mwanaume wake, hivyo
ni muhimu kujifunza na kuelewa mahitaji na mapendekezo yake ili kuhakikisha unamfanya
aridhike na kuhisi upendo wako hata kama mko mbali kimwili. Endelea kujifunza,
kubadilika na kujaribu njia mbalimbali ili kudumisha mahusiano yenu na kufanya
mwanaume wako ajisikie vizuri na kuridhika kila wakati.
■ Karibu kwenye jumuiya yetu! Tunashukuru kwa uungaji mkono wako na
kutufuatilia pia tunakualika kufanya Like, Comment, na Share ili kusambaza
ujumbe wetu kwa watu wengine.
MediaForumz.blogspot.com ya MUME WANGU
HANISAPOTI
NO: +255745228862
WhatsApp (Gadafi Nguile)
JINSI YA KUMJUA MKE AU MME MWEMA ATOKAYE KWA MUNGU KWA NJIA YA KUZITAZAMA TABIA ZAKE ZA NJE
Kijana au binti wa leo je hupo kwenye kipindi cha kumtafuta mke mwema au Mme mwema? Karibu nikujuze kitu hapa ambacho kitakusaidia kwenye maisha yako yote hapa ulimwenguni
*➡Kiufupi ni hivi kidini neno mchumba limejitokeza mala chache sana tena katika baazi ya biblia na Quran
lakini katika vitabu vingi vya kidini neno mchumba halipo kabisa isipokuwa
neno linaloonekana sana ni "MKE"*
Wakati nalifuatilia neno hili mchumba kibiblia nilijiuliza maswali kadhaa
ambayo ni;
*1.Kwanini neno mchumba halijatumika sana kibiblia?*
*2.Je waandishi wa biblia
kuna makosa ya kiuandishi waliyafanya kiasi cha kushindwa kuliandika neno
mchumba kwa sana?*
*3.Kwanini neno mke likatumika sana kuliko neno mchumba?*
Haya maswali yalinifanya nijiulize sana baadaye nikapata hekima ya kimungu juu
ya suala hili
NI HIVI SABABU KUBWA YA VITABU VYA MUNGU KUTUMIA NENO MKE KULIKO MCHUMBA NI
KWASABABU.
"KUSUDI LA MUNGU LA KUMKUTANISHA MTU MKE NA MTU MME NI ILI
WAWE MWILI MMOJA YAANI MKE NA MME NA SI WAWILI TENA"
*👉Mwanzo 2:24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na
mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.*
Kwahiyo kitendo cha binti na kijana kukubaliana kwamba wapo tayari kuwa mke na
Mme kiroho wanakuwa si wawili tena bali mtu mmoja unajua kilichowaunganisha
hawa ni nini? ni maneno au kiapo kilichowafanya wawe na mwelekeo mmoja
Nachotaka uone hapa ni neno linalosema *👉"ahadi yako kwa mke wa ujana wako"*
Kwahiyo utaona yakuwa kijana na binti wanapoanza kupeana ahadi na wakakubariana
basi kibiblia hata kama bado hawajaidhinishwa madhabahuni tayari wanakuwa ni
mke na mme kwa jinsi ya kiroho si wachumba
*ANGALIZO*
➡Kuwa mke na Mme kiroho
haiwapi uharali wa kuishi nyumba moja wala kufanya mapenzi bali ni mpaka pale
mtakapoidhinishwa na Shekh au madhabahuni
➡Kijana unayependa
kuchumbia binti zaidi ya mmoja na wote unaishi nao umejifunga mwenyewe kwa
viapo vyako kwa jinsi ya kiroho so kuwa makini sana
Baada ya kukuelezea kwa ufupi Kwanini vitabu vya mungu vimetumia neno mke sana
kuliko mchumba twende kuona jinsi binti au kijana anavyoweza kumjua Mme au mke
mwema atokaye kwa Bwana
*◾Anayefaa kuwa mke au mme
wa fulani anakuwa na tabia za mke au Mme hata kabla hajaoa au kuolewa*
➡Binti anayefaa kuwa mke
wa fulani anakuwa na tabia kama za mke wa fulani kabla hata hajaolewa!
*✍Mke wa mtu hauwezi
ukamkuta amevaa ovyo au amevaa nguo zinazoweka maungo yake nje atajipamba
vizuri kwa mavazi ya adabu ni hivyo pia binti anayefaa kuwa mke wa fulani
atavaa vizuri maana anajua mwili wake ni hekalu la Roho mtakatifu na ni fahari
ya mmewe*
*✍Mke wa mtu hauwezi
ukamkuta bar akinywa pombe ni hivyo pia binti anayefaa kuwa mke hauwezi kumkuta
bar*
*✍Mke wa mtu hauwezi
kumkuta anaongea ovyo bila adabu mitaani au kwenye daladala ni hivyo pia binti
anayefaa kuwa mke hauwezi kumkuta akiongea ovyo bila adabu*
*✍Mke wa mtu hauwezi
kumkuta uchochoroni usiku wa manane ni hivyo pia binti anayefaa kuwa mke
hauwezi kumkuta uchochoroni usiku wa manane*
*✍Mke wa mtu hauwezi
kumkuta kwenye mitandao akiwa ameposti picha za uchi ni hivyo pia binti
anayefaa kuwa mke hauwezi kumkuta kwenye mitandao akiwa ameposti picha za uchi*
Kwahiyo kijana kama unamhitaji mke mwema utaziona tabia za mke mwema kwa binti
hata kabla hajawa mke wa mtu
Kwako binti👇
*➡Binti na wewe
unayemhitaji Mme atokaye kwa Bwana utamjua kijana kwa tabia zake za Mme hata
kabla hajawa Mme wa Fulani*
✍Mme wa mtu hawezi
kushinda kijiweni asubuhi mpaka jioni bila kazi yoyote ni hivyo pia kijana
anayefaa kuwa Mme hauwezi kumkuta kijiweni bila kazi yoyote
✍Mme wa mtu hawezi kukosa
adabu kwa watu waliomzidi umri ni hivyo pia kijana anayefaa kuwa Mme wa mtu
hawezi kukosa adabu mbele za watu waliomzidi umri
✍Mme wa mtu hawezi kuwa na
sifa ya uzinifu katika jamii ni hivyo pia kijana anayefaa kuwa Mme wa mtu
hauwezi kumkuta ana sifa ya uzinzi katika jamii iliyomzunguka
✍Mme wa mtu hauwezi kumkuta hana uwezo wa kuihudumia familia yake mwenyewe ni hivyo pia kijana anayefaa kuwa Mme wa mtu hauwezi kumkuta hana uwezo wa kujihudumia mwenyewe Bali Mara nyingi utamkuta ana focus sana na maisha yake ya baadaye na pia ana nidhamu ya maisha.
➡Na pia haauwezi kumkuta
kijana anayefaa kuwa Mme wa mtu👇
*-Ana matumizi ya ovyo ya Pesa maana anaihofia kesho*
*-Hauwezi kumkuta anafanya maamuzi ya kitoto kwenye mambo mhimu yanayomhusu*
*-Na pia hauwezi kumkuta anaishi kihasara hasara
➡Badala yake utamkuta
*-Ni mtu mwenye misimamo na maisha*
*-Nadhifu*
*-Mtanashati*
*-Smart kichwani*
*-Mcha Mungu*
*-Na anayejua kuongea kwa hekima na busara mbele za watu*
*◾Kwahiyo kijana anayefaa
kuwa Mme wako binti utamkuta ana tabia zinazofananana kama za mme wa mtu kabla
hajaoa au hajakuoa*
Yapo mengi nilitamani niseme lakini sitaki nikuchoshe ila haya machache
yanaweza kukuhekimisha binti au kijana unayetafuta mke au Mme mwema atokaye kwa
mungu
Mungu awabariki sana🙏
WhatsApp 0745228862
Eng GADAFI NGUILE
HATUA ZA MUHIMU 7 KATIKA MAHUSIANO, ZA KUMSAHAU MTU ASIYEKUPENDA AU ALIYEKUACHA
HATUA YA KWANZA:-
〰️ Kubali na Amini kuwa
umempenda ila yeye hajakupenda kama ulivyompenda wewe.
Kubali uhalisia
kuwa hupendwi au umeachwa. Ikiwa
hutokubali kuwa
umeachwa, umependa Ila hupendwi utajikuta unawekeza nguvu zako nyingi katika
kujenga mahusiano yanayokuumiza kila kukicha.
HATUA YA PILI:-
〰️ Chukua wakati wako kwa ajili ya kuondoa uchungu uliopo
moyoni mwako kwa kulia au kuhuzunika. Hali hii itaondoa hasira na chuki za
maumivu ya mahusiano yako.
HATUA YA TATU:-
〰️ Jifunze kuwa busy kwa
kufanya kazi napia tenga mda wa kufanya mazoezi ya mwili. Hatua hii
itakuwezesha kuondoa maamivu yako na kumsahau yule aliyekuumiza kwa kadri
unavyokuwa busy na shughuli zako za maisha yako ya kila siku. Zingatia, maumivu
yako hayawezi kuondoka ikiwa hutokuwa na kitu kinachokufanya uwe busy, kitu
kinachochukua umakini wako...
HATUA YA NNE:
〰️ Msamehe mtu huyo kwa
kukuvunja moyo katika Mahusiano, lakini usijaribu au kufikiri na kumpa nafasi
ya kumwamini tena. Jifunze kumwepuka kadri uwezavyo ikiwa ni mtu ambaye mpo nae
karibu, iwe ni kazini au sehemu mnayoishi.
HATUA YA TANO:-
〰️ Ondoa karibu
yako vitu vyote vinavyowezekana vya mtu huyo ulivyonavyo, Mfano zawadi
alizowahi kukupatia au Kumbukumbu za matukio ya picha zote ulizowahi kupiga
nae. Vitu vya mtu ulivyonavyo huambatana na nafsi yake, kuendelea kuvihifadhi
vitakufanya ushindwe kumsahau katika maisha yako wakati yeye hana mpango na
wewe kabisa...
HATUA YA SITA:-
〰️ Tengeneza wakati
wako wa furaha. Jitengenezee kumbukumbu nzuri kwa kutumia mda wako mwingi na
marafiki zako au wa watu wanaokuthamini.
HATUA YA SABA:-
〰️ Shukuru kwa yote
yaliyopitia hata kama yamekuumiza kiasi gani, Amini kuwa hakuwa chaguo lako,
unaweza kuanza upya na unaweza kuishi maisha yako bila yeye.....
USISAHAU....
Kwa Imani yako uliyonayo, Ikiwa mwanzo hukuzungumza na MUNGU kwa kuyaombea
mahusiano yako, tumia mda huu sasa kumwomba MUNGU akuonyeshe mtu sahihi mwenye
kufanana na wewe Kama yasemavyo Maandiko....
Imeandaliwa na;-
Mwanasaikolojia & Mshauri nasihi,
Eng GADAFI NGUILE 💭
№ +255745228862 (WhatsApp)....
POLISI WAKAMATA SHEHENA LA NYAYA ZA SHABA ZA KAMPUNI YA TENESCO-MKURANGA-PWANI
Jeshi la Polisi Mkoa wa pwani ,Wilaya ya Mkuranga katika Mkoa wa kipolisi Rufijj limewakamata Watu wanne kwa vipindi tofauti wakidaiwa kuhuj...

-
HATUA YA KWANZA :- 〰️ Kubali na Amini kuwa umempenda ila yeye hajakupenda kama ulivyompenda wewe. Kubali uhalisia kuwa hu...
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa pwani ,Wilaya ya Mkuranga katika Mkoa wa kipolisi Rufijj limewakamata Watu wanne kwa vipindi tofauti wakidaiwa kuhuj...
-
Kijana au binti wa leo je hupo kwenye kipindi cha kumtafuta mke mwema au Mme mwema? Karibu nikujuze kitu hapa ambacho kitakusaidia kwenye ma...